Wednesday, 24 April 2024

MWENYEKITI UWT TAIFA ALIVYOWAFARIJI WAFIWA , WAATHIRIKA WA MAFURIKO IFAKARA


.......................

Na Dotto Mwaibale

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mary Chatanda akiwa na viongozi wa umoja huo ngazi ya Mkoa wa Morogoro na Wilaya ya Kilombero Aprili 23, 2024 walifanya tendo la huruma kwa kuwapa mkono wa pole kwa wafiwa na waathirika wa mafuriko yaliyo tokea Ifakara mkoani humo.

Akizungumza wakati wa kutoa pole hiyo Chatanda alisema waliona ni vizuri kufika kutoa pole hiyo kufuatia athari kubwa iliyoletwa na mafuriko hayo ikiwa ni pamoja na vifo, wananchi kukosa makazi ya kuishi sambamba na uharibifu wa mali na miundombinu ya barabara.

Mmoja wa waathirika wa mafuriko hayo akizungumzia mafuriko hayo.
Chatanda akikabidhi pole hiyo kwa waathirika
Pole hiyo ikitolewa.
Pole ikitolewa.
Chatanda akizungumza na waathirika hao. 

No comments:

Post a Comment