Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa chini ya Makamu Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar wakiwa kwenye kikao kilichomchagua Suzani Kunambi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania.



No comments:
Post a Comment